Vitamin E
- Inasaidia damu iwe nyepesi isitoke mabonge
2. Inasaidia kuona ute ute inaondoa ukavu ukeni
3. Inapevusha mayai vizuri
4. Inasaidia mimba isitoke
5. Inasaidia mtoto awe na viungo kamili
6. Kwa mwanaume inasaidia sperm ziwe strong na speed up