Stomach ulcer kwa jina lingine huitwa peptic ulcer ni kidonda kinachotokea kwenye utando wa umio, tumbo au utumbo mwembamba. Vidonda hutokea wakati acidi ya tumbo inapoharibu utando wa njia ya utumbo. Sababu kubwa huwa ni bakteria H.pylori, Dalili za vidonda vya tumbo ni pamoja na kusikia maumivu ya kuwaka tumbo, tumbo kujaa na kujisikia umeshiba, kiungulia, kichechefu nk. ugonjwa huu husababishwa na maambukizi ya bakteria. Wakati mwingine matumizi ya madawa yenye kemikali kwa muda mrefu hupelekea changamoto hii. kwa ushauri zaidi na suluhisho wasiliana nasi kwenye 0787281849.