TRE-EN-EN
TRE-EN-EN
  • Load image into Gallery viewer, TRE-EN-EN
  • Load image into Gallery viewer, TRE-EN-EN

TRE-EN-EN

Regular price
89,400.00 TZS
Sale price
89,400.00 TZS
Regular price
Sold out
Unit price
per 
Tax included. Shipping calculated at checkout.

*Tren en en*
Latin word  which means 3 in 1.
Imetengeneza kwa aina 3 za mafuta ya viini vya nafaka kamili *Soya,Ngano, na Mchele*

 

KAZI ZA TRE EN EN
Hii bidhaaa kila mtu anahitaji kwa ajili ya uhai wa chembe hai.

📌Hulainisha ukuta wa chembe chembe  (cell membrane) iweze kupitisha virutubisho na uchafu kutoka kwa muda sahihi.

📌Husaidia kubalance hormones kwa mwanamke ikitukiwa na feminine herbal
📌Husadia kupata choo kwa muda muafaka na kwa starehe na kuondoa tatizo la kuvimbiwa (Constipation)

📌Husaidia Kurenew cell zilokufa kumbuka mtu mzima cell zinakuwa renewed kila baada ya wiki 2 mtoto ni wiki 1 tu
📌Husaidia Kuondoa uchovu sugu
📌Huondoa maumivu ya kichwa meza  (6x1)
📌Husaidia kuupa mwili nguvu na stamina
📌Husaidia kuzuia magonjwa sugu  yaani ile hali ya kunywa dawa halafu tatizo linajirudia rudia
📌  Husaidia hatua 6 za mmeng'enyo wa chakula uende sawa (stage 6 of digestive system )
Ambazo ni

👉🏻 _Diet, Digestion, Absorption, Circulation ,Assimilation & Elimination ambacho Chakula huwa kinapitia.