SUPERGRO
SUPERGRO
SUPERGRO
  • Load image into Gallery viewer, SUPERGRO
  • Load image into Gallery viewer, SUPERGRO
  • Load image into Gallery viewer, SUPERGRO

SUPERGRO

Regular price
189,000.00 TZS
Sale price
189,000.00 TZS
Regular price
Sold out
Unit price
per 
Tax included. Shipping calculated at checkout.

SuperGro
SuperGro booster ni kirutubisho kisicho na kemikali ambacho kimetengenezwa kutatua changamoto za mkulimA

FAIDA YA KUTUMIA SuperGro
1-Huongeza uzalishaji wa mavuno
2-Hulainisha udongo na kuondoa mzio wa maji hivyo inasaidia mmea kufyonza virutubisho na kuweka unyevunyevu kwenye udongo.
3-Inaboresha dawa za kuuwa wadudu katika utendaji kazi
4-Inatengeneza ukijani wa mmea
5-Ni kama gundi, huwezesha madawa ya kilimo kusihika vizuri
6-Inaongeza ladha ya matunda.
7-Husaidia maua yawe na nguvu na yasipukutishwe na upepo hivyo kuongeza wingi wa mazao


MATUMIZI
CC1 Changanya na LITA 1 ya maji