Hongera ya mapumziko ya Pasaka. Tukumbushane kuhusu hii kinga ya mwili. Phytodefence👆🏽👆🏽 ni bidhaa ya Afya yenye bidhaa aina 3 ndani tofauti. Ina sachet 30 na kila moja ina vidonge 6.
1.Carotenoid complex.
Huongeza kinga ya mwili kwa 37% Ikitumika kwa siku 20 mfululizo.
Huondoa vimelea vyote vya saratani
Huongeza damu
Hutengeneza ngozi
Huongeza uono
Afya ya moyo hasa kusukuma damu
Inalinda mwili
Inaondoa sumu
2.Flavonoid
Hupunguza kasi ya saratani kuenea hasa saratani ya damu(leukemia)
Huongeza mng'ao wa ngozi
Ni anti ageing uzee mwisho kwa kitambulisho😆😆
Afya ya nerves
3 .Cruciferous
Huondoa uvimbe wowote mwilini,fibroids, myoma,ovarian cysts nk
Inaondoa na kuzuia saratani ya shingo ya kizazi ,tezi dume nk
Inazibua mirija ya uzazi(fallopian tube)
Inakausha na kuponyesha vidonda na hali ya unyevu wa infections hasa kwa via vya uzazi. Ongeza kinga yako ya mwili uwe salama.