PCC -Personal Care Concentrate

PCC -Personal Care Concentrate

Regular price
22,800.00 TZS
Sale price
22,800.00 TZS
Regular price
Sold out
Unit price
per 
Tax included. Shipping calculated at checkout.

Ni sabuni ya maji ya kuogea yenye harufu nzuri sana. Haina Kemikali na Inalainisha ngozi kuifanya kuwa nyororo. 

Wale wenye watoto hii ni sabuni kiboko nzuri sana kwa watoto, pia ni sabuni bora kwa watu wazima pia

-Inabalance PH ya ngozi, hata mtoto mchanga kabisa inamfaa

-Haina harufu kali

-Inasaidia sana kwa watoto wenye changamoto ya pumu ya ngozi

++++++KWANINI??? mtoto wako aharibike ngozi+++++++