
LIPOTROPIC ADJUNCT TABLET
Imetengenezwa na nafaka kamili ,
KAZI ZA LIPOTROPIC
1. Inafanya afya ya moyo vizuri kwa ujumla
2. Inaondoa ganzi , misuli kukaza ( haswa wanamichezo , wanaofanya mazoezi )
3. Ina folic acid kwa mama mjamzito inazuia kifafa, mdomo sungura,njiti, operations, mgongo wazi, nk
4. Kama umeteguka ,umeumia ni nzuri kuweka mawasiliano vizuri ya viungo
5. Inafanya kazi kwenye mishipa ya moyo tangu mtoto tumboni ,mtu mzima, na kuondoa damu zilizoganda kwenye mishipa ya damu.
LIPOTROPIC FUNCTIONS