KUPUNGUZA UZITO.

KUPUNGUZA UZITO.

Regular price
0.00 TZS
Sale price
0.00 TZS
Regular price
Sold out
Unit price
per 
Tax included. Shipping calculated at checkout.

Sababu kubwa ya uzito au obesity ni aidha kwa sababu ya ulaji mbovu au maradhi ambayo chanzo chake pia ni lishe yaani unakula kushiba bila kujali lishe iliyo ndani ya chakula. Tunaposema lishe tunamaanisha unakulaje na unakula nini.