Kuna aina mbili za saratani ya shingo ya kizazi.:
Squamous cell carcinoma ambayo ni 90% ambayo shingo ya kizazi inakuwa tayari imekumbwa na saratani.
Adenocarcinoma ni aina ambayo seli zinazotengeneza mucus ndani ya mfereji wa shingo ya kizazi unakuwa umepata maambukizi ya saratani. Dalili zake ni pamoja na kutokwa damu bila ya mpangilio, kutokwa damu baada ya tendo la ndoa, kuendelea kutoka damu kwa mama aliyekoma hedhi, discharge yenye harufu mbaya, maumivu wakati wa tendo la ndoa na uvimbe ndani ya uke. Visababishi ni pamoja na maambukizi ya virusi vya human papilloma. Kwa maelezo zaidi fika kwenye ofisi zetu Lion Hotel Sinza au tupigie 0787281849, 0713282930, 0764281849 tukuhudumie.