HIGH BLOOD PRESSURE
HIGH BLOOD PRESSURE
  • Load image into Gallery viewer, HIGH BLOOD PRESSURE
  • Load image into Gallery viewer, HIGH BLOOD PRESSURE

HIGH BLOOD PRESSURE

Regular price
0.00 TZS
Sale price
0.00 TZS
Regular price
Sold out
Unit price
per 
Tax included. Shipping calculated at checkout.

Moyo ni kiungo muhimu sana katika mwili wa kila kiumbe. Moyo ni kiungo kinachofanya kazi kubwa sana na masaa mengi kuliko kiungo kingine. Usicheze na afya ya moyo. Moyo wenye afya una kawaida ya kusukuma lita 7500 za damu kwa siku moja, hivyo weka kipaumbele kwenye afya ya moyo. Moyo ni misuli ambayo inajikunja na kukunjuka ili kuiwezeha damu kuingia na kutoka na kuizungusha kwenye mwili wote. Moyo unasaidiwa na mishipa ya damu(blood vessels) kusafirisha oxygen na virutubisho kwenye chembe hai na kutoa visivyohitajika kama carbon dioxide. Moyo ukisimama, mtu anakosa oxygen na kupelekea kifo. Hivyo tunashauriwa kutunza moyo na njia zake kuu. Tuchunge lishe zetu, tufanye mazoezi na kupata muda wa kulala kwa afya zetu. Fika kwenye ofisi zetu Lion Hotel Sinza kwa maelezo zaidi. Au tupigie 0787281849, 0713282930, 0764281849 tukuhudumie. 

The heart is a very important organ in the body of every living being. The heart is an organ that works much harder and more hours than any other organ. Don't play with heart health. A healthy heart normally pumps 7500 liters of blood in one day, so make heart health a priority. The heart is a muscle that twists and turns to pump blood in and out and circulate it throughout the body. The heart is supported by the blood vessels (blood vessels) to transport oxygen and nutrients to the living cells and give out unnecessary ones like carbon dioxide. If the heart stops, a person lacks oxygen and leads to death. So we are advised to take care of the heart and its main ways. Let's take care of our diet, exercise and find time to sleep for our health. Come to our offices Lion Hotel Sinza for more information. Or call us on 0787281849, 0713282930, 0764281849 and we will serve you.