Hivi umeshawahi kutumia hii sabuni ya unga toka Neolife? Hii ni sabuni ya ajabu yenye uwezo wa kutoa uchafu iwapo utaloweka kwa masaa matatu.
FAIDA ZA G1 Laundry
1-Haichubui mikono na inang'arisha nguo.
2-Inashauriwa kwa nguo zote za familia na hasa za watoto kwani utawasaidia wasipate allergies zinazosababishwa na sabuni zenye magadi.
3-Inatunza rangi halisi ya nguo.
Inauzwa kwenye ujazo wa kilo mbili sawa na vijiko 150.
4-Kijiko kimoja kina uwezo wa kufua nguo za kilo tatu.
5-Hii packet kwa familia ya watu chini ya watato mtatumia zaidi ya miezi sita.
6-Karibu ni zawadi nzuri kwetu kina Mama na muokoe dada wa nyumbani na michubuko kwani hiyo mikono ndiyo inayotengeneza juice.