Hii imetengenezwa kwa teknolojia ya 3D ambayo inarahisisha ufyonzwaji, umeng'enywaji na upatikanaji wa virutubishi mwilini.
Ndani yake kuna vitu vikuu vitatu:-
*I. Glucosamine hydrochloride (milligram 1,500):*
_ Glucosamine ni kirutubishi cha asili katika miili yetu ambacho husaidia uzalishaji wa ute ute (gegedu) katika maungio na hivyo kufanya yaweze kujikunja na kujikunjua kirahisi
_ Inayeyushwa kirahisi mwilini, inazuia matatizo katika mfumo wa ufyonzwaji wa virutubishi na pia inazuia mzio/allergy
*II. Herbal comfort complex:*
_ Ni mchanganyiko wa mitishamba maalum pamoja na virutubishi (kutoka katika bromelain, white willow na boswellia) ambavyo kumsaidia mtu kupata ahueni/nafuu.
*III. Regenerative mineral complex:*
_ Ina mchanganyiko wa madini muhimu kwa afya ambayo ni Zinc, Silica na Boron.kwa ushauri zaidi wasiliana nasi