Vyakula vingi (hasa vya nafaka) tunavyokula havina nyuzinyuzi za kutosha kwa sababu ya jinsi vinavyoandaliwa mfano kuondoa ganda la juu (kukoboa). Pia hatuli matunda na mbogamboga za kutosha.
Fibre tablets imetengenezwa kwa nyuzinyuzi kutoka katika vyakula mbalimbali ambavyo ni nafaka, matunda na mbogamboga
*Kazi za fibre tablets*
_ Inakufanya ujisikie umeshiba hivyo inazuia kula kiasi kikubwa cha chakula.
_ Ni nzuri kwa watu wanaotaka kupungua uzito (hasa wale ambao hawawezi kudhibiti hamu ya kula)
_ Inaondoa mafuta mabaya mwilini
_ Inadhibiti kiwango cha sukari katika damu (hivyo ni nzuri sana kwa wenye tatizo la Kisukari)
_ Inaimarisha mfumo wa umeng'enywaji wa chakula, mfumo wa kinga mwili na afya kwa ujumla
_ Inazuia na kuponya tatizo la kukosa/kufunga choo (constipation)