Bidhaa kwa ajili ya wanawake :
- Inarutubisha mji wa mimba kwa ujumla
- Inasaidia kupevusha mayai kwa wingi
- Inasaidia kuondoa maumivu wakati wa hedhi
- Inatengeneza mzunguko wa hedhi ukae vizuri
- Inaleta mood inakuwa vizuri haswa wakati wa period
- Inasaidia kuleta ute wa mimba
- Inasaidia Wamama waliokoma hedhi kuondoa usumbufu wa hot flashes na dryness.