KWA NINI WATU WANAUGUA KISUKARI? Matatizo mengi ya kiafya ukiacha maambukizi yanasababishwa na maisha na mazingira tunayoishi au lifestyle. Vyakula, usafi, hewa tunayovuta na mazoezi. Kisukari ni ile hali ya kuwa na sukari nyingi katika damu inayoambatana na kiu isiyoisha na kusababisha kukojoa mara kwa mara. Sukari inapozidi kwenye damu inasababisha kongosho isifanye kazi zake vizuri. Kongosho inaposhindwa kufanya kazi inashindwa kutoa insulin. Dalili za kisukari ni pamoja na kutokuona vizuri, kujisikia uchovu, kutoka jasho jingi, kupungua uzito, kusikia kichefuchefu n.k. Neolife itakuingiza kwenye programu itakayokusaidia kwa kukushauri aina ya vyakula vya kutumia na ukaishi maisha ya raha kabisa. Kwenye picha ni baadhi ya virutubisho. wasiliana nasi kupitia 0787281849 tukupe suluhisho la kudumu.
WHY DO PEOPLE GET DIABETES? Many health problems apart from infection are caused by the life and environment we live in or lifestyle. Food, hygiene, the air we breathe and lack of exercises. Diabetes is the condition of having too much sugar in the blood accompanied by unceasing thirst and causing frequent urination. When there is too much sugar in the blood, it causes the pancreas to not function properly. When the pancreas fails to function, it fails to produce insulin. Symptoms of diabetes include poor vision, feeling tired, sweating profusely, losing weight, feeling nauseous, etc. Our company will introduce you to a program that will help you by advising you on the types of foods to use and live a completely comfortable life. In the picture are some supplements. Contact us through 0787281849 for more information.
Kindly listen to the video below.
