Carpet glo ni sabuni nzuri ambayo inatumika kusafishia mazulia, makochi ya vitambaa pamoja na seat covers za magari. Matumizi yake ni kidogo sana kwani 50mls zitatosha kutakatisha carpet lako.
JINSI YA KUTUMIA:
Unachukua mls 50 za carpet glo unachanganya na maji litre tatu. Unakoroga kwa nguvu ili litoe povu la kutosha. Chota povu tu ulitumie kusafishia kifaa chako kwa brush laini. Usitumie maji kabisa kwani hilo povu litakauka.