Carotenoid complex ni mchanganyiko wa mbogamboga na matunda iliwemo karoti, spinach,pilipili hoho nyekundu,strawberries,parachichi,persikor, nk ...
FAIDA ZAKE
- Kuongeza kinga ya mwili kwa asilimia 37% ndani ya siku 27
- Kutoa sumu mwilini
- Kusaidia uono wa macho
- Kulinda seli zisiharibiwe
- Kwa afya ya moyo
- Kupunguza mafuta mabaya mwilini