CARE DISINFECTANT

CARE DISINFECTANT

Regular price
36,800.00 TZS
Sale price
36,800.00 TZS
Regular price
Sold out
Unit price
per 
Tax included. Shipping calculated at checkout.

1⃣ *CARE DISINFECTANT* 

High concetrated Disinfectant huua bacteria kwa 99.9% kwa dakika 

⏯ KAZI ZA CARE

1.Kutokana na nguvu yake ya kuua bacteria ikisaidiana na dawa nyingine za kumeza husaidia kuponya vidonda kama vya kisukari, cancer,  vidonda vya moto hata michubuko.

2.Ikitumiwa pamoja na Provitality humaliza kabisa miwasho sugu, mapunye,  Utangotango, Mba,  harara na hata chunusi. 

3.Ikitumiwa pamoja na Garlic Allium humaliza kabisa tatizo la fungus sugu hasa sehemu za siri kutokana na joto jingi, pia Ikitumika kwenye maji ya kuoga hukata harufu ya  jasho kali. 

4.Husaidia kuzuia maambukizi yanayosababisha UTI- Urinary track infection na hasa watoto wa kike kwa kuipaka kwenye toilet seats. 

5.Inatumika kusafishia vifaa vya saloon za nywele na pia kusafishia mabanda ya wanyama na vyombo vya kulishia wanyama kwa ajili ya kuwakinga na magonjwa yanayoenezwa na bacteria na hata kuwaoshea. 

  1. Ukichanganya pamoja na shower gel iitwayo PCC ukaogea utaifurahia ngozi yako. 


⏯ JINSI YA KUTUMIA CARE

👉 Kwa matumizi ya hospitali changanya kipimo 1:10

👉 Kwa matumizi ya kawaida changanya kipimo 1:50

Mfano chupa ya 200mls chanya na lita 3 za maji

✅NB ni rafiki wa mazingira inatumika sehemu nyingi hospital,Clinic,Mahotelini,Mashuleni,Kwenye migahawa,Sehemu za kuokea mikate n.k

Inabana matumizi lita moja inatoa lita 50 kwa matumizi ya kawaida au lita 11 kwa matumizi ya kihospital