
ALOE VERA PLUS
Ni juice tamu inayotengenezwa na viungo vya ndani ya Aloe Vera sababu ni kwa matumizi ya ndani.
MATUMIZI
1-Kuondoa kiungulia
2-Kuondoa gesi tumboni
3-Kupunguza msongo wa mawazo(stress)
4-Kuondoa uchovu
5-Kukupa usingizi mnono
6-Kupunguza makali ya vidonda vya tumbo
7-Kuondoa maumivu ya mwili
8-Kuchangamsha mwili
9-Kuondoa sumu mwilini
10-Inasaidia watu wenye allergy