SuperGro
SuperGro
SuperGro booster ni kirutubisho kisicho na kemikali ambacho kimetengenezwa kutatua changamoto za mkulima
FAIDA YA KUTUMIA SuperGro
1-Huongeza uzalishaji wa mavuno
2-Hulainisha udongo na kuondoa mzio wa maji hivyo inasaidia mmea kufyonza virutubisho na kuweka unyevunyevu kwenye udongo.
3-Inaboresha dawa za kuuwa wadudu katika utendaji kazi
4-Inatengeneza ukijani wa mmea
5-Ni kama gundi, huwezesha madawa ya kilimo kusihika vizuri
6-Inaongeza ladha ya matunda.
7-Husaidia maua yawe na nguvu na yasipukutishwe na upepo hivyo kuongeza wingi wa mazao
MATUMIZI
CC1 Changanya na LITA 1 ya maji