LDC

LDC

Sabuni nzuri isiyo na kemikali

FAIDA YA LDC

1-Hutoa mafuta yaliyogandana kwenye vyombo

2-Huondoa shombo kwenye vyombo

3-Husaidia masink yasizibe na huondoa mafuta kwenye masink

4-huondoa harufu mbaya ya kinywa na kumaliza tatizo la meno kuuma na kutoboka

5-Unaweza kutumia kuoshea matunda na mbogamboga