CARE

CARE
Hii ni DISINFECTANT inaua bacteria99.9% na haina madhara yoyote kwa mtumiaji.


MATUMIZI
1-Kutibu vidonda sugu, hata vitokanavyo na kisukari na cancer.
2-Humaliza miwasho sugu,harara,mapunye,utangotango.
3-Kumlinda mtu asipate maambukizi ya UTI.
4-Hutumika kusafishia mabanda ya wanyama kuwalinda dhidi ya bacteria na  wadudu.